Baadhi ya wanasiasa kutoka kaunti za magharibi mwa nchi sasa wanawataka viongozi na wakazi kutoka kaunti za kakamega, Bungoma, Busia , Migori, Kisumu na Vihiga kuunganisha jamii za kaunti hizo ili kufanikisha azma ya kutwaa uongozi wa taifa hili katika chaguzi zijazo.

Viongozi hao wanasema bila kuwepo umoja wa wananchi na viongozi kutoka eneo pana la magharibi mwa Nchi itakua vigumu eneo hilo kutwaa buongozi wa Taifa miaka michache ijayo baada ya uongozi wa rais William Ruto.

Mengi Zaidi kuhusiana na taarifa hii sikiliza ripoti ya mwanahabari wetu Tom Lutali Sasala kutoka Kakamega.

Taarifa Yake Tom Lutali Sasala.

Na Tom Lutali Sasala – Kakamega County.

Leave a Comment