All Posts

Wazazi Transnzoia;Waitaka Serikali Kuchunguza Shule Zinazouza Nafasi za Wanafunzi wa Form 1.

Mwenyekiti wa chama cha wazazi kaunti ya Transnzoia Wellington Waliaula anaeleza kusikitishwa na kile anakitaja kuingizwa ufisadi katika zoezi la kutoa nafasi za wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2023. Kulingana na Waliaula baadhi ya wazazi wamekuwa wakiitishwa pesa kwenye baadhi ya shule za upili ili…