Mama Samia Suluhu Hassan ni rais wa sita wa Tanzania ambaye ameingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli. Alikuwa Makamu wa Rais toka mwaka 2015. Samia atashikilia wadhifa wa urais kwa kipindi kilichosalia cha muhula wa urais mpaka 2025, kwa mujibu wa katiba ya…
