Wauguzi kaunti ya Bungoma wameeleza kuridhishwa na juhudi za serikali ya kaunti hiyo chini ya wizara ya afya kuimarisha mazingira yao ya kazi. Wauguzi hao wameahidi kufanya kazi vyema na serikali ya kaunti hiyo ili kuimarisha huduma ya afya kwa wananchi. Mwenyekiti wa muungano wa wauguzi kaunti ya Bungoma Felix…
