Shughuli ya Kujumlisha matokeo ya uchaguzi mdogo wa useneta tayari imeanza kaunti ya Bungoma muda mfupi baada ya zoezi la upigaji kura kufungwa saa kumi na moja jioni. Hakujaripotiwa kisa chochote cha utovu wa usalama wala vurugu kushuhudiwa wakati wa zoezi hilo. Idadi ndogo ya wapiga kura hata hivyo imejitokeza…
