Author page: Boniface Muchoki

Ufisadi Waripotiwa Kwenye Shughuli Ya Kuajiri Walimu Wapya Pokot Magharibi.

Huku zoezi la kuwaajiri walimu likiendelea kote nchini,wakaazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti ya Pokot Magharibi wanaotafuta nafasi za ajira wamellalamikia idadi kubwa ya watu waanaofika eneo hilo kufafuta nafasi hizo kutoka maeneo mengine ya nchi. Wakaazi hao wakiongozwa na Benard Lolem wanadai kwamba watu kutoka kaunti zingine ikiwemo…

Wazazi Transnzoia;Waitaka Serikali Kuchunguza Shule Zinazouza Nafasi za Wanafunzi wa Form 1.

Mwenyekiti wa chama cha wazazi kaunti ya Transnzoia Wellington Waliaula anaeleza kusikitishwa na kile anakitaja kuingizwa ufisadi katika zoezi la kutoa nafasi za wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2023. Kulingana na Waliaula baadhi ya wazazi wamekuwa wakiitishwa pesa kwenye baadhi ya shule za upili ili…