Watu 3 wamefariki dunia mapema leo na wengine 8 kujeruhiwa baada ya kuporomokewa na mgodi eneo la Tinderet kaunti ya Nandi. Ripoti iliopo inasema 3 hao ambao wote ni wananaume wamefariki baada ya kufunikwa na mchanga kwenye mgodi wa dhahabu eneo hilo. Walioshuhudia wanasema mgodi huo umeporomoka kutokana na utumizi…
