1: Saratani ya utotoni ni nini? Saratani ya utotoni hutokea kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 18. Kila mwaka inakadiriwa kuwa takriban watoto elfu 400 hupata ugonjwa wa saratani ya utotoni. Saratani ya watoto hata hivyo inatibika na mara mingi huwa Ni nadra sana watoto kupata saratani,…
